Mratibu wa wizara ya afya dkt.
Oberbelin Kisanga akiwasilisha moja ya mada katika mkutano huo ambao
unawahusisha wahisani,kamati za afya za mikoa,Tamisemi pamoja na wadau
wa sekta ya afya
Viongozi wa Wizara ya
Afya,tamisemi na wahisani wakifuatilia mada zinazowashilishwa kwenye
mkutano huo wa mwaka,waliokaa kiti cha kwanza ni Mganga Mkuu wa Serikali
Prof. Bakari Kambi(wa kwanza kushoto),Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt.
Mpoki Ulisubisya,Mwenyekiti wa Wadau wa Maendeleo nchini Dkt. Thomas
Teusch na wa mwisho kulia ni Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia
Afya dkt. Zainabu Chaula.
Baadhi ya maofisa kutoka idara na wadau mbalimbali wakifuatilia mada
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya akibadilishana mawazo na Mganga Mguu wa Serikali Prof. Bakari Kambi
No comments :
Post a Comment