Pages

Thursday, November 3, 2016

MKUTANO WA MWAKA WA UTENDAJI WA SEKTA YA AFYA WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

f1
Mratibu wa wizara ya afya dkt. Oberbelin Kisanga akiwasilisha moja ya mada katika mkutano huo ambao unawahusisha wahisani,kamati za afya za mikoa,Tamisemi pamoja na wadau wa sekta ya afya
f2
Viongozi wa Wizara ya Afya,tamisemi na wahisani wakifuatilia mada zinazowashilishwa kwenye mkutano huo wa mwaka,waliokaa kiti cha kwanza ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi(wa kwanza kushoto),Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya,Mwenyekiti wa Wadau wa Maendeleo nchini Dkt. Thomas Teusch na wa mwisho kulia ni Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Afya dkt. Zainabu Chaula.
f3
Baadhi ya maofisa kutoka idara na wadau mbalimbali wakifuatilia mada
f4
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya akibadilishana mawazo na Mganga Mguu wa Serikali Prof. Bakari Kambi

No comments:

Post a Comment