Pages

Thursday, November 3, 2016

WAJASIRIAMALI KUTOKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAPAMBA MAONYESHO YA TAMASHA LA MWANAMKE MJASIRIAMALI KWA BIDHAA ZA KIUTAMADUNI NA KIASILI JIJINI DAR ES SALAAM

b1
Mjasiriamali kutoka kikundi cha Mjasiriamali Jasiri Bibi. Dorcas Kibona (kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi Msaidizi Lugha kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Shani Kitogo (kulia) moja ya bidhaa zinazoandaliwa na kikundi chake leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya Tamasha la mwanamke mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
b2
Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Kagera Bibi. Celilina Gabagambi (kushoto) akitoa maelezo juu ya bidhaa alizoziandaa kwa ajili ya maonyesho kwa Mkurugenzi Msaidizi Lugha kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Shani Kitogo (kulia) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya Tamasha la mwanamke mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
b3
Mjasiriamali wa bidhaa za Utamaduni kutoka Uganda Bibi. Florence (kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi Msaidizi Lugha kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Shani Kitogo (kulia) bidhaa za kiutamaduni kutoka Uganda leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya Tamasha la mwanamke mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
b4
Kijana Enock Mwigimba (aliyeinama) kutoka Enock Design Products akiwafundisha wanawake wajasiriamali namna ya kufuma mazuria ya kufutia miguu wakati wa maonyesho ya Tamasha la mwanamke mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
b5
Baadhi ya mabanda ya maonyesho ya Tamasha la mwanamke mjasiriamali kutoka nchi za Afrika Mashariki yaliyosheheni malighafi za kiutamaduni wakati wa maonyesho hayo yaliyoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016.

No comments:

Post a Comment