Monday, March 2, 2020

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara Katiba na Sheria katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu].02/03/2020.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Nd,Said Hassan Said (kushoto) alipokuwa akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa robo mbili Julai-Disemba 2019  katika mkutano wa Wizara ya Katiba na Sheria kiliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Waziri wa Katiba na Sheria Nd,Khamis Juma Maalim (kulia),[Picha na  Ikulu],02/3/2020.
Watendaji wa Idara ya Mahkama katika  Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa makini taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019  iliyosomwa katika kikao maalum cha Wizara hiyo kilichofanyika leo  katika  Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambapo  Mwenyekiti wake alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].02/03/2020.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Nd,Joseph Kazi  (kushoto) alipokuwa  akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba 2019  katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Mkurugenzi Mipango,Sera na Utafiti Daima M.Mkalimoto, (kulia),[Picha na Ikulu]. 02/03/2020. 
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim (kushoto) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya  Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia),[Picha na Ikulu.] 02/03/2020.
Mkurugenzi Idara ya Msaada wa Kisheria Hanifa Ramadhan Said (kulia) akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba 2019 katika mkutano wa Wizara ya hiyo  uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mwengine (katikati) Mrajis wa Mahkama Mohamed Ali Mohamed na Mtendaji Mkuu wa Mahkama Kai Bashir  Mbarouk (kushoto)  [Picha na  Ikulu],02/302/2020.

No comments :

Post a Comment