Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi
wa Wizara Katiba na Sheria katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi
kwa kipindi cha Julai-Disemba2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,[Picha na Ikulu].02/03/2020.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Nd,Said Hassan Said (kushoto) alipokuwa akichangia katika kikao cha Utekelezaji
wa Mapango kazi kwa robo mbili Julai-Disemba 2019 katika mkutano wa
Wizara ya Katiba na Sheria kiliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na
Waziri wa Katiba na Sheria Nd,Khamis Juma Maalim (kulia),[Picha na Ikulu],02/3/2020.
Watendaji wa Idara ya Mahkama
katika Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa makini taarifa ya
Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019
iliyosomwa katika kikao maalum cha Wizara hiyo kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambapo Mwenyekiti wake alikuwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].02/03/2020.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na
Sheria Nd,Joseph Kazi (kushoto) alipokuwa akisoma taarifa ya
Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika
mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Mkurugenzi
Mipango,Sera na Utafiti Daima M.Mkalimoto, (kulia),[Picha na Ikulu].
02/03/2020.
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis
Juma Maalim (kushoto) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji
Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika kikao cha Uongozi
wa Wizara hiyo kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini
ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu wa Baraza
la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
(kulia),[Picha na Ikulu.] 02/03/2020.
Mkurugenzi Idara ya Msaada wa
Kisheria Hanifa Ramadhan Said (kulia) akichangia katika kikao
cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019
katika mkutano wa Wizara ya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
mwengine (katikati) Mrajis wa Mahkama Mohamed Ali Mohamed na Mtendaji
Mkuu wa Mahkama Kai Bashir Mbarouk (kushoto) [Picha na
Ikulu],02/302/2020.
No comments:
Post a Comment