Pages

Monday, March 2, 2020

KITENGO CHA HABARI WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KIMEANDAA MAFUNZO KWA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA



Maafisa habari kutoka wizarani na taasisi zilizo chini ya wizara wakisikiliza kwa makini mafunzo yenye kujenga uwezo wa kutangaza shughuli za serikali katika
vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Mtoa mada kutoka National Data Centre ndugu. Emanuel akitoa mafunzo kwa maafisa habari wa Wizara ya Viwanda na Bisahara na taasisi zilizo chini ya wizara katika kikao kazi chenye lengo la kujenga uwezo wa kutangaza shughuli za serikali kupitia mitandao ya kijamii.
Maafisa habari kutoka wizarani na taasisi zilizo chini ya wizara wakisikiliza kwa makini mafunzo yenye kujenga uwezo wa kutangaza shughuli za serikali katika
vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Mtoa mada kutoka National Data Centre ndugu. Edwin … akitoa mafunzo kwa maafisa habari wa Wizara ya Viwanda na Bisahara na taasisi zilizo chini ya wizara katika kikao kazi chenye lengo la kujenga uwezo wa kutangaza shughuli za serikali kupitia mitandao ya kijamii.
***********************
Kitengo cha habari wizara ya viwanda na biashara, kimeandaa mafunzo ya kujenga uwezo kwa taasisi zilizo chini ya wizara yanayoendeshwa na National Data Centre
yenye lengo la kuendesha mkakati wa pamoja wa kutangaza shughuli za serikali ikiwa ni pamoja na kueleza, kutangaza mafanikio yote ya wizara kwa jamii kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

No comments:

Post a Comment