**********************
Msanii wa kizazi kipya hapa nchini
AliKiba amepongezwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri kwa
mchango wake wa vifaa tiba vya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa wananchi
wa mkoa huo.
AliKiba alikabidhi vifaa hivyo kwa
Aggrey Mwanri ikiwa ni sehemu ya kurejesha shukrani zake kwa wananchi
wa Tabora katika tamasha lake ‘AliKiba Uforgetable Tour’ litakalofanyika
Novemba.
No comments :
Post a Comment