



Maafisa wa Shirika la Viwango
Tanzania wakitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kayenzi
iliyopo mkoa wa Morogoro baada ya kujibu swali vizuri.
TBS imetoa elimu kwa wanafunzi wa
shule za msingi na sekondari katika mikoa ya Morogoro,Pwani na Dar es
salaam ambapo wanafunzi 10,757 wamepata elimu ya Viwango na umuhimu wa
kununua bidhaa zilizothibitishwa na TBS na kuahidi kuwa mabalozi wazuri
wa utumizi wa bidhaa zilizothibitishwa na kuwafikishia ujumbe huo wazazi
walezi na jamii inayowazunguka.
No comments :
Post a Comment