Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Hisham Hendi (wa
tatu kutoka kulia) wakimsikiliza Adam Mbyallu wa Sahara Ventures
walipotembelea Hubs za Sahara Ventures, DTBI,Jenga Hub na Seedspace zote
za jijini Dar es Salaam, Ziara hiyo iliandaliwa na mfuko wa ubunifu
(HDIF) unaojishughulisha na kukuza ubunifu na kusaidia wabunifu nchini
(Innovation ecosystem).
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania PLC, Hisham Hendi akichangia mada wakati wafanyakazi wa
kampuni hiyo walipofanya ziara ya kujifunza katika ofisi mbalimbali
za uvumbuzi (innovation hubs) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Adam
Mbyallu wa Sahara Ventures. Ziara hiyo iliandaliwa na program ya HDIF
inayojishughulisha na kusaidia wavumbuzi wa teknolojia nchini.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
Plc wakimsikiliza Iddy John wa atamizi ya DTBI wakati akifafanua juu
ya uvumbuzi wa Teknolojia unaoweza kuwaunganisha wafanyabiashara kwa
pamoja wakati wafanyakazi wa vodacom walipofanya ziara ya kujifunza
katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini
Dar es Salaam. Ziara hiyo iliandaliwa na program ya HDIF
inayojishughulisha na kusaidia wavumbuzi wa teknolojia nchini.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
Plc wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Hisham Hendi
(wa pili kushoto) wakimsikiliza Andrew Tesha wa atamizi ya DTBI
wakati akifafanua juu ya uvumbuzi wa Teknolojia inayoweza kuwaunganisha
wafanyabiashara kwa pamoja wakati wafanyakazi wa vodacom walipofanya
ziara ya kujifunza katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na
Seedspace zote za jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo iliandaliwa na
program ya HDIF inayojishughulisha na kusaidia wavumbuzi wa teknolojia
nchini.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni
hiyo Rossalyn Mworia (kulia aliye kaa) wakimsikiliza Mkurugenzi wa
Jenga Hub, Nancy Sumari (kushoto) wakati alipokuwa akifafanua jinsi
walivyofanya uvumbuzi wa kuwafundisha watoto wa shule kwa kutumia
Teknolojia (Innovation ) wakati wafanyakazi hao walipofanya ziara ya
kujifunza katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace
zote za jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo iliandaliwa na program ya HDIF
inayojishughulisha na kusaidia wavumbuzi wa teknolojia nchini.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni
hiyo Rossalyn Mworia ( wa kwanza kulia aliyekaa) wakimsikiliza meneja
wa Hub ya Jenga Lupyana Mbembati wakati alipokuwa akielezea namna
wanavyotumia Teknolojia kuwafundisha watoto wa shule wakati
wafanyakazi hao walipofanya ziara ya kujifunza katika Hubs za Sahara
Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini Dar es Salaam. Ziara
hiyo iliandaliwa na program ya HDIF inayojishughulisha na kusaidia
wavumbuzi wa teknolojia nchini.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC wakiwa katika ofisi za hub ya
Seedspace wakati walipofanya ziara ya kujifunza maswala ya Teknolojia
kwenye Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini
Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment