Friday, July 26, 2019

MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA TAASISI, MASHIRIKA YA UMMA NA BINAFSI KUHUSU SHIMMUTA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Mhe. Kisare Katiku Makori wakati akiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eo Ijumaa Julai 26, 2019 ambapo alizungumza na viongozi Wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Kampuni Binafsi kuhusu ushiriki wao katika michezo inayoandaliwa na Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA).











No comments :

Post a Comment