Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Mhe. Kisare
Katiku Makori wakati akiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam eo Ijumaa Julai 26, 2019 ambapo alizungumza na
viongozi Wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Kampuni Binafsi kuhusu
ushiriki wao katika michezo inayoandaliwa na Shirikisho la Michezo la
Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA).










No comments:
Post a Comment