Monday, July 29, 2019

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWATUNUKU VYETI WAHITIMU CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA (NDC) JIJINI DAR ES SALAAM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpongeza Bi.Mindi Kasiga, muhitimu kutoka Tanzania, katika mahafali ya Chuo Cha Ulinzi cha Taifa (NDC), Kunduchi jijini Dar es Salaam leo Julai 27, 2019.
Makamu wa Rais akielekea kwenye ukumbi wa mahafali 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Venance Mabeyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Mstaafu, Jenerali George Marwa Waitara




















No comments :

Post a Comment