Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimpongeza Bi.Mindi Kasiga, muhitimu kutoka Tanzania, katika mahafali
ya Chuo Cha Ulinzi cha Taifa (NDC), Kunduchi jijini Dar es Salaam leo
Julai 27, 2019.
![]() |
| Makamu wa Rais akielekea kwenye ukumbi wa mahafali |

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Venance
Mabeyo.
![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Mstaafu, Jenerali George Marwa Waitara |

















No comments:
Post a Comment