Sheikh
Hemed Jawalii kutoka Taasisi ya Shia na Sharia Kigogo akichangia mada
katika kikao baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto na viongozi wa dini chenye lengo la kuwajengea uwezo viongozi
hao kuhusu Ajenda ya Kitaifa ya Wajibu wa Wazazi /Walezi wa Malezi na
Matunzo ya Familia kilichofanyika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Wizara
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa TRCPT Mchungaji Canon Thomas Godda akichangia mada katika kikao
baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
katika na viongozi wa dini chenye lengo la kuwajengea uwezo viongozi hao
kuhusu Ajenda ya Kitaifa ya Wajibu wa Wazazi /Walezi wa Malezi na Matunzo ya Familia kilichofanyika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Mwajuma Magwiza akielezea lengo
la kikao baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto katika na viongozi wa dini chenye lengo la kuwajengea uwezo
viongozi hao kuhusu Ajenda ya Kitaifa ya Wajibu wa Wazazi /Walezi wa
Malezi na Matunzo ya Familia kilichofanyika ukumbi wa Ofisi ndogo ya
Wizara jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Tausi Mwilima akichangia jambo
katika kikao baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto na viongozi wa dini chenye lengo la kuwajengea uwezo viongozi
hao kuhusu Ajenda ya Kitaifa ya Wajibu wa Wazazi /Walezi wa Malezi na
Matunzo ya Familia kilichofanyika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Wizara
jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
wa Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ambaye ni
Kamishana wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng’ondi (katikati waliokaa)
akiwa katika picha ya pamoja na maafisa waandamizi kutoka Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na viongozi wa dini
mara baada ya kikao kilichowakutanisha viongozi hao kuhusu Ajenda ya
Kitaifa ya Wajibu wa Wazazi /Walezi wa Malezi na Matunzo ya Familia
kilichofanyika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment