Muonekano
wa nje wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) lililozinduliwa na Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa alipo wasili katik hafla ya
uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa
Kaya Binafsi kwa Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jingo la
Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa
hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya
Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania
Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya
Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18
pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini
Dodoma.
Mtakwimu
Mkuu wa Serikali toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa
akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa
Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi
Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya
Takwimu(NBS) jijini Dodoma.
Mkuu
wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Mwanahamisi akitoa salamu za mkoa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya
Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18
pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini
Dodoma.
Mwakilishi
wa Benki ya Dunia, Denis Biseko akitoa salamu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya
Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18
pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini
Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji wakifurahia baada ya kufunua kitamba kuashiria
kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jijini
Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa
Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene Kitabu cha
Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi
Tanzania Bara mwaka 2017/18 mara baada ya kuzinduliwa leo jijini Dodoma.
Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi Mtakwimu
Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bibi. Mayasa Sadala Kitabu cha Matokeo
ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania
Bara mwaka 2017/18 mara baada ya kuzinduliwa jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu
wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Mwanahamisi
Mukunda.
Baadhi
ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa
Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi
Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya
Takwimu(NBS) wakifuatilia hotuba mbalimbali za viongozi jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya
pamoja na Kamati ya Maandandilizi ya hafla ya
uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na
Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa
jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma. (PICHA NA FRANK SHIJA – MAELEZO).
No comments :
Post a Comment