Pages

Saturday, June 29, 2019

UJENZI WA NYUMBA BORA WAONGEZEKA: WAZIRI MKUU MAJALIWA


 Muonekano wa nje wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) lililozinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa alipo wasili katik hafla ya uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi kwa Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jingo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)  jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya  uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika hafla ya  uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini Dodoma.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika hafla ya  uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)  jijini Dodoma.

Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Mwanahamisi  akitoa salamu za mkoa wakati wa hafla ya  uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Denis Biseko akitoa salamu wakati wa hafla ya  uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji wakifurahia baada ya kufunua kitamba kuashiria kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene Kitabu cha Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 mara baada ya kuzinduliwa leo jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Dkt. Ashatu Kijaji.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bibi. Mayasa Sadala Kitabu cha Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 mara baada ya kuzinduliwa jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Mwanahamisi Mukunda.

Baadhi ya washiriki wa hafla ya  uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) wakifuatilia hotuba mbalimbali za viongozi jijini Dodoma.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maandandilizi ya hafla ya  uzinduzi wa Matokeo ya Viashiria Muhimu vya Utafiti wa Mapato na Matumizi kwa Kaya Binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/18 pamoja na uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) leo jijini Dodoma. (PICHA NA FRANK SHIJA – MAELEZO).

No comments:

Post a Comment