Masanduku yaliyoifadhiwa Madini,Vito pamoja na fedha za Mataifa
mbalimbali zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi zikiingizwa
Ukumbini tayari kwa Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Biswalo Mganga
kukabidhi kwa Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Mkurugenzi wa
Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali
sehemu ya vipande vya Madini ya Dhahabu ambayo ilikamatwa na
kuitaifishwa kwa mujibu wa Sheria
zilizotokana na Kesi mbalimbali za Uhujumu Uchumi katika ukumbi wa BOT
jijini Dar es salaam Juni 29, 20
Waziri wa Fedha
na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi
Dkt.Agustine Mahiga, Waziri wa Madini Dotto Biteko pamoja na Kamishina wa
Madini Profesa Abdukalim Mruma wakiwa wamishika vipande vya madini ya dhahabu
ambayo Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amezikabidhi kwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James kwa niaba ya Serikali
Madini, vito na Fedha za mataifa mbalimbali zilizokamatwa na kuitaifishwa kwa
mujibu wa Sheria zilizotokana na Kesi mbalimbali
za Uhujumu Uchumi nchini, katika ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Juni 29,
2019
No comments:
Post a Comment