RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akikabidhiwa picha na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi.
Maniza Zamani , yenye Ujumbe Unaoashiria Upendo kwa Watoto, alipofika
Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga leo.3-5-2019
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza
Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar, kuaga baada ya kumaliza muda wake wa
Kazi Nchini, kushoto akiwa na Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi
zake Zanzibar Bi. Maha Damaj
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa nac mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi.
Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada
ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akiagana na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi.
Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,3-5-2019.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment