Tuesday, April 2, 2019

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU UVCCM TAIFA JIJINI DODOMA


V25A7575
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Ndg. Raymond Mwangwala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
V25A7584
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Ndg. Raymond Mwangwala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
V25A7591V25A7562
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Ndg. Raymond Mwangwala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments :

Post a Comment