Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Adolf Ndunguru
kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Msafiri Mbibo
kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha na Mipango (Sera) Adolf Ndunguru akiwa pamoja na Naibu Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wakila Kiapo cha
Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza salamu
mbalimbali zilizokuwa zikitolewa Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada
ya kumuapisha Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
na Mipango (Sera) pamoja na Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kuwaapisha viongozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
kumbukumbu na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi wa John Kijazi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu
Kijaji wakwanza kushoto Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango
(Sera) Adolf Ndunguru wapili kutoka kulia Naibu Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Msafiri Mbibo wapili kutoka kushoto
mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
No comments :
Post a Comment