Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Uyole nje kidogo ya jiji la Mbeya wakati akiwa njiani kuelekea Wilayani
Rungwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Kiwira Wilayani Rungwe wakati aliposimama kuwasalimia.
Wananchi wa Kiwira
wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine
wa Mkoa wa Mbeya, Mawaziri, Wabunge akikata utepe kufungua kiwanda cha
Maparachichi cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maparachichi
yanayohifadhiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi katika kiwanda cha
Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mashine maalumu
ya kuangalia ubora wa maparachichi katika kiwanda cha Rungwe Avocado
Campany mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi
pamoja na wananchi katika eneo la kiwanda cha cha Rungwe Avocado Campany
mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment