Wednesday, April 3, 2019

Meli ya kifahari iliyobeba watalii yatia nanga Dar

Meli ya gharama inayojulikana kama Silver Whisper imetia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam leo ikiwa na watalii 360.



No comments :

Post a Comment