Meli ya kifahari iliyobeba watalii yatia nanga Dar
Meli ya gharama inayojulikana kama Silver Whisper imetia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam leo ikiwa na watalii 360.
Meli ya Silver Whisper yawasili Tanzania ikiwa na watalii kutoka
nchi mbalimbali. Meli hiyo ilianza safari Desemba mwaka jana katika mji
wa Miami nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment