Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai akizungumza jambo wakati akiongoza Kikao cha 2 cha Mkutano wa 15
wa Bunge la 11 leo Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson (kulia mbele) akiteta jambo na Spika wa Bunge la
Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed Ahmed (katikati mbele) katika
jukwaa la Wageni wa Spika Bungeni Jijini Dodoma, Mhe. Dkt. Ali
kalitembelea Bunge katika ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi
hizi mbili. Kushoto mbele ni Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe. Reverin
Ndikuriyo
Mhamasishaji Maarufu wa Timu
ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid
akitambulishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Spika wa Bunge, Mhe. Job
ndugai (hayupo kwenye picha) aliemualika kama mgeni wake.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson (mbele) akielezea ukaaji ndani ya Bunge kwa Spika wa
Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed Ahmed (kulia) na Rais wa
Seneti ya Burundi, Mhe. Reverin Ndikuriyo (wa pili kulia) pale ugeni
kutoka nchi hizo ulipotembelea leo Bungeni Jijini Dodoma. Katika ziara
ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizo mbili na Tanzania. Wageni
wengine ni maofisa kutoka Bunge la Misri, Burundi na Tanzania
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali
Abdel Aal Sayyed Ahmed alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma, Katika ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizi mbili.
Katikati ni Mkalimani Ndg. Alaa Salah Abdelwahed.
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali
Abdel Aal Sayyed Ahmed alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Katika ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizi mbili
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Misri
ulioongozwa na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed
Ahmed (watatu kushoto) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma, Katika ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizi mbili.
Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (kushoto) akimpatia zawadi ya picha yenye Jengo la Bunge Spika wa
Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed Ahmed alipomtembelea leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Katika ziara ya kuboresha
mahusiano baina ya nchi hizi mbili. Kulia ni Mkalimani Ndg. Alaa Salah
Abdelwahed
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (kulia) akiongozana na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali
Abdel Aal Sayyed Ahmed (katikati) alieambatana na ugeni kutoka Bunge la
Misri wakielekea katika Ukumbi wa Pius msekwa Kuhutubia Bunge tukio
lililofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma, Wageni walikuja katika ziara ya
kuboresha mahusiano baina ya nchi hizi mbili.
Mawaziri, Manaibu Waziri,
Wabunge na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika Ukumbi wa Pius
Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, wakifuatilia hotuba ya Spika Ndugai pale
ugeni kutoka Bunge la Misri, Burundi na Cameroon ulipotembelea Bunge la
Tanzania, Kwa ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizo na
Tanzania.
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Misri, Burundi na Cameroon
pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Wabunge na Wafanyakazi wa Ofisi ya
Bunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma. Ugeni huo
ulitembelea Bunge kwa ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizo na
Tanzania. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE)











No comments:
Post a Comment