Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe. Reverien Ndikuriyo kabla
ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dodoma, Aprili 3,
2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe. Reverien Ndikuriyo,
ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 3, 2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment