Vijana wa Kitanzania kupata fursa ya kipekee!
Shindano la ujasiriamali la
Tujenge TZ Innovation Challenge linapokea michanganuo kutoka kwa
wajasiriamali vijana hadi tarehe 13 mwezi wa tatu mwaka huu.
Vijana kupewa fursa ya kupata mafunzo, wawekezaji na mengine mengi kwa ajili ya kukuza biashara zao.
Tembelea www.tujengetzchallenge.co.tz
No comments :
Post a Comment