Pages

Friday, March 1, 2019

VIJANA WA KITANZANIA KUPATA FURSA YA KIPEKEE


homepagebanner
Vijana wa Kitanzania kupata fursa ya kipekee!
Shindano la ujasiriamali la Tujenge TZ Innovation Challenge linapokea michanganuo kutoka kwa wajasiriamali vijana hadi tarehe 13 mwezi wa tatu mwaka huu.
Vijana kupewa fursa ya kupata mafunzo, wawekezaji na mengine mengi kwa ajili ya kukuza biashara zao.

No comments:

Post a Comment