Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Soni wilayani Lushoto akiwa katika
ziara ya mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa saruji kutoka kwa Bw. Pradeep
Punlana (katikati) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha saruji
cha Rhino kilichopo eneo la Maweni jijini Tanga wakati alipotembelea
kiwanda hicho Novemba 1, 2018.

akitazama usindikaji wa maziwa wakati alipotembelea kwanda cha Maziwa
cha Tanga Fresh cha jijini Tanga, Novemba 1, 2018. Kushoto ni Waziri wa
Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, watatu kushoto ni
Meneja Ufundi wa kiwanda hicho, Adam Gamba na wanne kukhoto ni Meneja
Mkuu wa kiwanda, Michael Karata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment