Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akielezea jambo mbele ya Kamati
hiyo ilipokuwa ikijadili Taarifa za Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo
wa Taifa wa mwaka 2019/2020 na Mwongozo wa maandalizi ya Mpango wa
Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2019/20 – 2021/22 katika kikao cha Kamati hiyo
kilichofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa
Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango.
Waumbe wa Kamati ya Bajeti
wakijadili Taarifa za Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa
mwaka 2019/2020 na Mwongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka
wa Fedha 2019/20 – 2021/22 kataika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment