Mkuu
wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina
ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora.
Mkuu
wa Wilaya ya Tabora Komanya Erick Kitwala akizungumza wakati wa mkutano wa
pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora jana.
Mjumbe
wa Serikali ya Mtaa wa Kizigo Kata ya Ng’ambo mkoani Tabora, Bw. Said Thabit
Mnwagi akizungumza wakati wa mkutano wa
pamoja baina ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kulia),wananchi na
watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora jana.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Tabora, Komanya Erick Kitwala na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Joseph Kashushura.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali
mkoa wa Tabora wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri
wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukubi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo jana.(PICHA NA FRANK SHIJA – MAELEZO, TABORA)
No comments :
Post a Comment