Pages

Thursday, August 30, 2018

RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI

  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora.

  Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Erick Kitwala akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora jana.

 Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kizigo Kata ya Ng’ambo mkoani Tabora, Bw. Said Thabit Mnwagi  akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kulia),wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora jana.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Komanya Erick Kitwala na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora  Joseph Kashushura.


Baadhi ya washiriki wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukubi wa  ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo jana.(PICHA NA FRANK SHIJA – MAELEZO, TABORA)


No comments:

Post a Comment