Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chato katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chato mkoani Geita. Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi
Msafiri Semeon(kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke(kulia).
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
Madiwani pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato wakatika
akiondoka katika Ofisi za Halmashauri hiyo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika
ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Chato kwa ajili ya mkutano na Madiwani,
Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato
mkoani Geita.
Baadhi ya Watumishi wa halmashauri ya Wilaya ya
Chato wakifatilia kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza masuala mbalimbali
katika ukumbi wa Halmashauri hiyo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Baraza la Madiwani wa
Halmashauri ya Wilaya ya Chato mara baada ya kumaliza mkutano huo na Madiwani,
Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato.
Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Christian
Manunga wapili kutoka (kulia) mstari wa kwanza mbele, Mkuu wa Wilaya ya Chato
Eng. Mtemi Msafiri Semeon watatu kutoka (kulia), Waziri wa Nishati na Madini
Dkt. Medard Kalemani, wanne kutoka (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mara baada
ya mkutano huo uliofanyika katika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chato mkoani Geita. Wengine katika picha mstari wa mbele ni Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Wilaya ya Chato Christian Manunga wakwanza kutoka (kulia) mstari
wa kwanza mbele, Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri Semeon wapili
kutoka (kulia), Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani wapili kutoka
kushoto pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke.(PICHA
NA IKULU)
No comments:
Post a Comment