AFISA MIRADI UMOJA WA ULAYA AFANYA ZIARA SHINYANGA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI KWA WATOTO
Afisa Miradi 'Afisa Programu' kutoka
Umoja wa Ulaya (European Union - EU) John Villier amefanya ziara ya
kutembelea na kujionea maendeleo ya mradi wa Kutokomeza Mila na Desturi
Kandamizi zinachochangia ndoa na mimba za utotoni mkoani Shinyanga
unaotekelezwa na Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto la Save The
Children.
No comments:
Post a Comment