Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kulia) akisalimiana na Koplo, Yakobo kiwawa (kushoto) wakati akiingia
katika Ofisi ya Uhamiaji leo Mjini Dodoma Kwa ajili ya kuchukuliwa alama
za vidole ili kutengenezewa pasi/hati ya kusafiria.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akisaini kitabu cha wageni walipotembelea Ofisi ya uhamiaji leo Mjini
Dodoma kabla ya kuchukuliwa alama za vidole kwa ajili ya kutengenezewa
pasi ya kusafiria.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akichukuliwa alama za vidole kwa ajili ya kutengenezewa pasi ya
kusafiria leo katika Ofisi ya uhamiaji Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kulia) akizungumza na Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Dodoma,
Ndg. Edwin Mwasota (kulia) leo katika Ofisi za uhamiaji Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(aliekaa) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Ofisi ya
uhamiaji leo Mjini Dodoma wakiongozwa na Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji
Mkoa wa Dodoma, Ndg. Edwin Mwasota (wa pili kulia waliosimama)
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment