Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wajumbe wa
kongamano la maadhimisho ya kilele cha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Habari Duniani leo mjini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizindua mpango maalumu wa
Kitaifa kuhusu Muelekeo wa Uhuru wa Kujieleza ulioandaliwa na Taasisi ya
Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika (MISA TANZANIA) wakati wa kilele
cha kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
Duniani leo mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Taasisi ya
Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TANZANIA) Bi. Salome Kitomari
Mwakilishi wa UNESCO nchini Bw.
Jaco Du Toit (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe moja ya machapisho ya Jumuiya hiyo
kuhusiana na Uhuru wa Vyombo vya Habari wakati wa kilele cha kongamano
la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani leo mjini
Dodoma.
Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya
hapa nchini Bw. Charles Stuart akizungumza na wajumbe (hawapo pichani)
wakati wa kongamano la maadhimisho ya kilele cha Siku ya Uhuru wa Vyombo
vya Habari Duniani leo mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha
Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Bi. Edda Sanga akizungumza
na wajumbe (hawapo pichani) wakati wa kongamano la maadhimisho ya
kilele cha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani leo mjini Dodoma.
Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la
Wahariri Tanzania (TEF) Bw. Deodatus Balile akizungumza na wajumbe
(hawapo pichani) wakati wa kongamano la maadhimisho ya kilele cha Siku
ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani leo mjini Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na
wadau wa habari, viongozi wa taasisi na Mashrika ya Kimataifa
yanayojihusisha na masuala ya habari hapa nchini wakati wa kongamano la
maadhimisho ya kilele cha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani leo
mjini Dodoma.
No comments :
Post a Comment