Wednesday, May 2, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MEI 2,2018 JIJINI DODOMA


Pix 1 Mwenyekiti Chenge
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Pix 2 Wabunge
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakijadili jambo wakati wa  kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Pix 3 Mabula na Joseph haule
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akiteta jambo na Mbunge wa Mikumi Mhe.Joseph Haule  wakati wa kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Pix 4 Mhagama na Prof Ndalichako
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia  Mhe.Prof Joyce Ndalichako wakati wa kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Pix 5 Nyongo na kIjaji
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Ashatu Kijaji akimsikiliza Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa  kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Pix 6 Mhe.Mussa Sima
Mbunge wa Singida Mjini Mhe.Mussa Sima akiuliza swali wakati wa  kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments :

Post a Comment