Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha ishirini
cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakijadili jambo wakati wa kikao cha ishirini cha
Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya
Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akiteta jambo na
Mbunge wa Mikumi Mhe.Joseph Haule wakati wa kikao cha ishirini cha
Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama
akizungumza jambo na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof
Joyce Ndalichako wakati wa kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na
moja leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dkt Ashatu Kijaji akimsikiliza Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus
Nyongo wakati wa kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo
Jijini Dodoma.
Mbunge wa Singida Mjini Mhe.Mussa
Sima akiuliza swali wakati wa kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na
moja leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
No comments:
Post a Comment