Pages

Wednesday, May 2, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA


2 3 4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi  Kalambo zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iringa vijijini katika eneo la Ndiwili (hawaonekani pichani) wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
8 9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ipogolo mkoni Iringa wakati akitokea Kilolo.
11
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi kwa kuimba nyimbo na vijana chipukizi wa Kilolo mara baada ya kuhutubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment