Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Dk. Mwigulu Nchemba akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake
wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu
ya maandalizi kabla ya kusomwa bajeti ya Wizara hiyo, Bungeni jijini
Dodoma, kesho. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad
Masauni. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu,
Projest Rwegasira. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa
Wizara, jijini humo leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Dk. Mwigulu Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa
maelezo katika kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni
sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho.
Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni.
Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya.
Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini
humo leo
.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira (kulia),
akimsikiliza Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo,
Issa Ng’imba, kabla ya kuanza kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara
hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini
Dodoma, kesho. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara hiyo, jijini humo leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Dk. Mwigulu Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa
maelezo katika kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni
sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho.
Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni.
Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini
humo leo.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment