Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili Mpigaduri na
Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara
maalum ya kutembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya
kisasa, itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China,[Picha na
Ikulu.] 04/04/2018.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Salama Aboud
Twalib wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya
Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya
kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya
kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China,
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud
Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati
wa ziara maalum Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya
Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kutembelea Eneo linalotarajiwa
kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka
Nchini China
Eneo la
ufukwe wa Mpigaduri,Maruhubi linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya
kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa
na Ujumbe wa Baraza la Mapinduzi walifika kuangalia Alama Maalum za
mipaka ya ujenzi wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi
Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya
kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya
kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa maelekezo kwa watendaji wakati alipotembelea Eneo la
Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa
katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa
kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka
Nchini China
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na
Usafirishaji Mhe,Siara Ubwa Mamboya (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe
(Kushoto) alipofika Eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum ya
kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi
Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na
Kampuni ya Chek kutoka Nchini China,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud
Jumbe (katikati) alipofika Eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum alipotembelea Eneo hilo linalotarajiwa kujengwa Mji Mpya wa kisasa
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa maelekezo wa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati
walipofika Eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum
kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi Eneo
linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na
Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment