Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala ya dawa
kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya
Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Sehemu ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) yaliyozinduliwa jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Mwakilishi wa Taasisi ya
Global Fund Bw. Linden Morrison wakati akijaribu moja ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini
Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari 181 ya
Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global
Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia kwenye hafla ya
uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es
salaam leo Machi 26, 2018.
Sehemu ya wafanyakazi wa MSD
wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli wakati akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa magari
181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26,
2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikata
utepe kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa
(MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi
wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi
ya Global Fund Bw. Linden Morrison akijaribu moja ya magari 181 ya
Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam leo Machi
26, 2018.
PALE WAPIGA PICHA WANAPOPIGWA PICHA –
Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiupiga picha msafara
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden
Morrison (chini kushoto) na viongozi wengine wakati wakielekea kukagua
magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini
Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
No comments :
Post a Comment