Tuesday, March 27, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA KAMATI YA PAC YATEMBELEA MIRADI MWANZA MWANZA

MWANZA 1
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo , Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka wakitoka ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kabla ya kuanza  ziara ya kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa katika Jiji hilo.
MWANZA 2
Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakionyeshwa baadhi ya vifaa vilivyonunuliwa kwa  ajili ya Karakana inayojengwa na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA) Mwanza
MWANZA 3
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakielekea kukagua Mradi ya ujenzi wa Karakana unaotekelezwa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi VETA Mkoa wa Mwanza.
MWANZA 6
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akitoa maelekezo kwa ungozi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) Mwanza baada ya Kamati hiyo kutembelea mradi wa ujenzi wa Karakana.

No comments :

Post a Comment