Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC), wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ,
Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka wakitoka ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza kabla ya kuanza ziara ya kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa
katika Jiji hilo.
Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za
Serikali (PAC) wakionyeshwa baadhi ya vifaa vilivyonunuliwa kwa ajili
ya Karakana inayojengwa na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA) Mwanza
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC) wakielekea kukagua Mradi ya ujenzi wa Karakana
unaotekelezwa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi VETA Mkoa wa Mwanza.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za
Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akitoa maelekezo kwa
ungozi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) Mwanza baada ya Kamati hiyo
kutembelea mradi wa ujenzi wa Karakana.
No comments:
Post a Comment