Pages

Tuesday, March 27, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA:KIKAO CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAAENDELEO YA JAMII


PIC 01
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Juma Nkamia (kulia ) akiendesha kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo mjini Dodoma.
PIC 02
Wakuu wa Taasisi za Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia mjadala wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kilichofanyika leo mjini Dodoma.
PIC 03
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia mjadala wakati wa kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo mjini Dodoma.
PIC 04
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mama Salma Kikwete (kulia) akifuatilia mjadala wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo mjini Dodoma.
PICHA NA:OCTAVIAN KIMARIO

No comments:

Post a Comment