Wednesday, March 28, 2018

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA MKUU WA USHIRIKIANO WA MAENDELEO WA UBALOZI WA SWEDEN


DSC_1921
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar kushoto akitiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
DSC_1938
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar kushoto akibadilishana hati ya saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
DSC_1955
Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutiliana saini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
DSC_1966
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Post a Comment