Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango Khamis Mussa Omar kushoto akitiliana saini na Mkuu wa
Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na
Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa
na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya
Elimu Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango Khamis Mussa Omar kushoto akibadilishana hati ya saini na Mkuu
wa Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana
na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo
sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya
Elimu Zanzibar.
Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo
wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig akizungumza na waandishi wa Habari
baada ya kutiliana saini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango
Khamis Mussa Omar kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za
Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania
kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango Khamis Mussa Omar akizungumza na waandishi wa Habari baada ya
kutiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden
Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani
milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili
ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment