Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
na mkewe Mary Majaliwa (kulia) wakimsikiliza Meneja Uzalishaji wa
Kiwanda cha Korosho cha Tandahimba Cashew, Abdulrahman Sinani, wakati
alipotembelea kiwanda hicho, kilichopo Wilayani Tandahimba, Mkoani
Mtwara, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Gasper Byakanwa,
Februari 28, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
na mkewe Mary Majaliwa (katikati) wakiangalia mashine ya kubangulia
korosho katika Kiwanda cha Korosho cha Tandahimba Cashew, kilichopo
Wilayani Tandahimba, Mkoani Mtwara, kushoto ni Meneja Uzalishaji wa
kiwanda hicho, Abdulrahman Sinani, Februari 28, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na mbanguaji korosho Zuhura Abdallah, katika
Kiwanda cha Korosho cha Tandahimba Cashew, kilichopo Wilayani
Tandahimba, Mkoani Mtwara, katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa
na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Gasper, Februari 28,
2018.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akioneshwa mashine ya kuchambua korosho na Meneja Uzalishaji wa
kiwanda hicho, Abdulrahman Sinani katika Kiwanda cha Korosho cha
Tandahimba Cashew, kilichopo Wilayani Tandahimba, Mkoani Mtwara, kulia
ni Mke wa Waziri Mkuu Mary, Februari 28, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akioneshwa mashine ya kukaushia korosho na Meneja Uzalishaji wa
kiwanda hicho, Abdulrahman Sinani katika Kiwanda cha Korosho cha
Tandahimba Cashew, kilichopo Wilayani Tandahimba, Mkoani Mtwara, kulia
ni Mke wa Waziri Mkuu Mary, Februari 28, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akiangalia ubora wa korosho, iliyo teyari kuliwa, wakati
alipotembelea Kiwanda cha Korosho cha Tandahimba Cashew, kilichopo
Wilayani Tandahimba, Mkoani Mtwara, kulia ni Mke wa Waziri Mkuu Mary,
Februari 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments :
Post a Comment