Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Said Meck Sadik katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Said Meck Sadik wakati akielekea kupanda ndege katika uwanja
wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara
yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwashukuru
viongozi mbalimbali wa Serikali, Kidini na Taasisi mbalimbali
waliomsindikiza katika katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwashukuru
viongozi mbalimbali wa Serikali, Kidini na Taasisi mbalimbali
waliomsindikiza katika katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment