Muigizaji filamu nyota nchini
Marekani Vin Diesel sio kuwa tu anakipaji cha kuigiza na kuprodyuzi
bali pia anauwezo wa kuchana miondoko ya rap.
Nyota huyo wa filamu ya The Fate of
the Furious, jana aliibuka wakati wa tuzo za Billboard Latin Music
Awards huko Miami, Florida, akimpa tafu mwanamuziki Nicky Jam
jukwani.
Nicky aliimba kwa lugha ya
Kihispania alisikika akisema 'Sasa natengeneza filamu na Vin Diesel,'
na kisha Diesel akaibuka jukwani na kuonyesha kipaji chake cha
ku-rap.
You might also like:
No comments :
Post a Comment