Pages

Friday, April 28, 2017

MUIGIZAJI FILAMU VIN DIESEL AONYESHA KIPAJI CHA KU-RAP

Muigizaji filamu nyota nchini Marekani Vin Diesel sio kuwa tu anakipaji cha kuigiza na kuprodyuzi bali pia anauwezo wa kuchana miondoko ya rap.

Nyota huyo wa filamu ya The Fate of the Furious, jana aliibuka wakati wa tuzo za Billboard Latin Music Awards huko Miami, Florida, akimpa tafu mwanamuziki Nicky Jam jukwani.

Nicky aliimba kwa lugha ya Kihispania alisikika akisema 'Sasa natengeneza filamu na Vin Diesel,' na kisha Diesel akaibuka jukwani na kuonyesha kipaji chake cha ku-rap.
You might also like:

No comments:

Post a Comment